Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 9:5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 5 Zaidi ya hayo, nitadai muwajibike kwa sababu ya damu ya uhai wenu.* Nitadai kila kiumbe aliye hai awajibike; nami nitamdai kila mwanadamu awajibike kwa sababu ya uhai wa ndugu yake.+

  • Kutoka 21:12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 12 “Yeyote anayempiga mtu na kumuua lazima auawe.+

  • Mambo ya Walawi 24:17
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 17 “‘Mtu anayemuua mwanadamu mwenzake* lazima auawe.+

  • Kumbukumbu la Torati 19:11, 12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 “Lakini ikiwa mtu alikuwa akimchukia jirani yake,+ akamvizia, akamjeruhi vibaya sana na kumuua, na mtu huyo amekimbilia katika mojawapo ya majiji hayo, 12 basi wazee wa jiji lake wanapaswa kumwita kutoka humo na kumtia mikononi mwa yule anayelipiza kisasi cha damu, naye lazima afe.+

Tanzanian sign language publications (2020-2026)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki