-
Kutoka 27:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Mapazia yanayoning’inia upande wa kaskazini yatakuwa pia na urefu wa mikono 100, pamoja na nguzo zake 20 na vikalio vyake 20 vya shaba, lakini kulabu za nguzo hizo na vitanzi* vyake vitakuwa vya fedha.
-