-
Kutoka 19:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Nao lazima wawe tayari kwa ajili ya siku ya tatu, kwa sababu katika siku ya tatu mimi Yehova nitashuka juu ya Mlima Sinai mbele ya watu wote.
-
-
Kutoka 25:22Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
22 Nitakutokea hapo na kuzungumza nawe kutoka juu ya kifuniko hicho.+ Kutoka katikati ya hao makerubi wawili walio juu ya sanduku la Ushahidi, nitakujulisha amri zote utakazowapa Waisraeli.
-
-
Hesabu 12:5Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
5 Yehova akashuka katika nguzo ya wingu+ na kusimama kwenye mlango wa hema la mkutano, akamwita Haruni na Miriamu. Wote wawili wakaenda mbele.
-