-
Hesabu 12:5Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
5 Yehova akashuka katika nguzo ya wingu+ na kusimama kwenye mlango wa hema la mkutano, akamwita Haruni na Miriamu. Wote wawili wakaenda mbele.
-
-
Kumbukumbu la Torati 31:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Ndipo Yehova akatokea pale hemani katika nguzo ya wingu, na nguzo hiyo ya wingu ikasimama karibu na mlango wa hema.+
-