-
Kutoka 16:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 Basi jioni hiyo kware wakaja na kufunika kambi,+ na asubuhi utando wa umande ulizunguka kambi yote.
-
-
Zaburi 78:26, 27Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
26 Aliuvumisha upepo wa mashariki mbinguni
Na kwa nguvu zake akaufanya upepo wa kusini uvume.+
27 Naye akawanyeshea nyama kama mavumbi,
Ndege kama mchanga kwenye ufuo wa bahari.
-