-
Kutoka 2:16Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
16 Sasa kuhani wa Midiani+ alikuwa na mabinti saba, nao wakaja kuteka maji na kujaza vyombo vya kunyweshea kondoo wa baba yao.
-
-
Kutoka 2:21Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
21 Baada ya hayo Musa akakubali kuishi na mtu huyo, naye akampa Musa binti yake aliyeitwa Sipora+ ili amwoe.
-