-
Kutoka 25:22Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
22 Nitakutokea hapo na kuzungumza nawe kutoka juu ya kifuniko hicho.+ Kutoka katikati ya hao makerubi wawili walio juu ya sanduku la Ushahidi, nitakujulisha amri zote utakazowapa Waisraeli.
-
-
Kutoka 30:36Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
36 Utaponda baadhi ya viungo hivyo viwe unga laini na kuweka kiasi fulani mbele ya sanduku la Ushahidi katika hema la mkutano, mahali nitakapokutokea. Mchanganyiko huo unapaswa kuwa mtakatifu kabisa kwenu.
-