-
Kutoka 13:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 Kila mzaliwa wa kwanza wa punda utamkomboa kwa kondoo, na usipomkomboa, basi unapaswa kumvunja shingo. Nawe unapaswa kumkomboa kila mzaliwa wa kwanza wa kiume kati ya wanao.+
-