Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 18:1, 2
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 18 “Makuhani Walawi, naam, kabila lote la Lawi, halitakuwa na fungu au urithi pamoja na Waisraeli. Watakula dhabihu zinazochomwa kwa moto zinazotolewa kwa Yehova, ambazo ni urithi wake.+ 2 Kwa hiyo hawapaswi kuwa na urithi kati ya ndugu zao. Yehova ndiye urithi wao, kama alivyowaambia.

  • Yoshua 18:7
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 7 Lakini Walawi hawana urithi kati yenu,+ kwa sababu ukuhani wa Yehova ndio urithi wao;+ na tayari Gadi, Rubeni, na nusu ya kabila la Manase+ wamechukua urithi wao upande wa mashariki wa Yordani, ambao Musa mtumishi wa Yehova aliwapa.”

  • Ezekieli 44:28
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 28 “‘Na huu ndio utakaokuwa urithi wao: Mimi ndiye urithi wao.+ Msiwape mali yoyote katika Israeli, kwa maana mimi ndiye mali yao.

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki