-
Hesabu 18:21Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
21 “Ona kwamba nimewapa wana wa Lawi kila sehemu ya kumi+ katika Israeli iwe urithi wao kwa sababu ya utumishi wao, utumishi wa hema la mkutano.
-
-
Kumbukumbu la Torati 12:19Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
19 Jihadharini msimpuuze Mlawi+ yeyote sikuzote mtakazoishi katika nchi yenu.
-