-
Hesabu 19:21Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
21 “‘Hii itakuwa sheria ya kudumu kwa ajili yao: Yule anayenyunyiza maji ya kutakasa+ anapaswa kufua mavazi yake, na yule anayegusa maji ya kutakasa hatakuwa safi mpaka jioni.
-