Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 8:15, 16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 15 Kisha Walawi wataingia ndani ya hema la mkutano ili kutumikia. Hivyo ndivyo unavyopaswa kuwatakasa na kuwatoa* kama toleo la kutikiswa. 16 Kwa maana wao ni watu waliokabidhiwa, niliokabidhiwa kutoka miongoni mwa Waisraeli. Nitawachukua hao kwa ajili yangu badala ya wazaliwa wote wa kwanza* wa Waisraeli.+

  • Hesabu 18:6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 6 Mimi mwenyewe nimewachukua ndugu zenu, Walawi, kutoka miongoni mwa Waisraeli na kuwakabidhi ninyi kama zawadi.+ Wamekabidhiwa kwa Yehova ili watumikie katika hema la mkutano.+

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki