-
Kumbukumbu la Torati 8:19Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
19 “Ikiwa mtamsahau Yehova Mungu wenu na kufuata miungu mingine na kuiabudu na kuiinamia, nashuhudia dhidi yenu leo kwamba hakika mtaangamia.+
-
-
1 Samweli 12:25Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
25 Lakini mkifanya uovu bila kujali, ninyi pamoja na mfalme wenu mtafagiliwa mbali.”+
-