-
Kumbukumbu la Torati 11:26Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
26 “Tazameni, leo ninaweka mbele yenu baraka na laana:+
-
-
Kumbukumbu la Torati 27:26Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
26 “‘Amelaaniwa mtu ambaye hataunga mkono maneno haya ya Sheria kwa kuyatekeleza.’+ (Na watu wote watasema, ‘Amina!’)
-
-
Kumbukumbu la Torati 28:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 Baraka hizi zote zitawajia na kuwatangulia,+ kwa sababu mnaendelea kuisikiliza sauti ya Yehova Mungu wenu:
-
-
Kumbukumbu la Torati 28:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 “Lakini msipoisikiliza sauti ya Yehova Mungu wenu kwa kuwa waangalifu kutenda amri zake zote na sheria zake ninazowaamuru leo, laana hizi zote zitawajia na kuwatangulia:+
-