-
Kumbukumbu la Torati 4:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 “Ila tu muwe waangalifu na kujihadhari sana, ili msisahau mambo ambayo macho yenu yameona na ili yasiondoke moyoni mwenu siku zote za maisha yenu. Ni lazima pia muwaambie wana wenu na wajukuu wenu.+
-
-
Kumbukumbu la Torati 11:19Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
19 Wafundishe watoto wako maneno haya, na kuongea kuyahusu unapoketi nyumbani mwako na unapotembea barabarani na unapolala na unapoamka.+
-