-
Kutoka 3:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Yehova alipoona akienda kukitazama, Mungu akamwita kutoka katika kichaka cha miiba: “Musa! Musa!” naye akajibu: “Mimi hapa.”
-
-
Matendo 7:30Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
30 “Baada ya miaka 40, malaika akamtokea kwenye nyika ya Mlima Sinai katika mwali wa moto wa kichaka cha miiba kilichokuwa kikiwaka.+
-