-
Kumbukumbu la Torati 1:5Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
5 Katika eneo la Yordani nchini Moabu, Musa alianza kuifafanua Sheria+ akisema:
-
-
Kumbukumbu la Torati 3:29Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
29 Mambo hayo yote yalitendeka tulipokuwa tukikaa katika bonde lililo mbele ya Beth-peori.+
-