Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 19:5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 5 Sasa ikiwa mtaitii kabisa sauti yangu na kushika agano langu, hakika mtakuwa mali yangu ya pekee* kati ya mataifa yote,+ kwa maana dunia yote ni mali yangu.+

  • Waebrania 9:19, 20
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 19 Kwa maana Musa alipowatajia watu wote kila amri ya Sheria, alichukua damu ya wale ng’ombe dume wachanga na ya wale mbuzi, pamoja na maji, sufu nyekundu, na hisopo, na kukinyunyizia kile kitabu* na watu wote, 20 akisema: “Hii ndiyo damu ya agano ambalo Mungu amewaamuru mlishike.”+

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki