Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 18:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Sasa ninajua kwamba Yehova ni mkuu kuliko miungu mingine yote,+ kwa sababu ya mambo aliyowafanyia wale waliowatendea watu wake kwa kiburi.”

  • 2 Mambo ya Nyakati 2:5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 5 Nyumba nitakayojenga itakuwa kuu, kwa maana Mungu wetu ni mkuu kuliko miungu mingine yote.

  • Zaburi 97:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  9 Kwa maana wewe, Ee Yehova, ndiye Uliye Juu Zaidi, juu ya dunia yote;

      Umekwezwa juu zaidi ya miungu mingine yote.+

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki