-
Mambo ya Walawi 18:3Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
3 Msifanye kama wanavyofanya katika nchi ya Misri ambako mliishi, wala msifanye kama wanavyofanya katika nchi ya Kanaani ambako nawapeleka.+ Msifuate sheria zao.
-
-
Kumbukumbu la Torati 12:31Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
31 Msimfanyie hivyo Yehova Mungu wenu, kwa sababu mataifa hayo yanaifanyia miungu yao kila jambo linalochukiza ambalo Yehova anachukia, hata kuwateketeza motoni wana na mabinti wao kwa ajili ya miungu yao.+
-