Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 11:13-20
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 13 “‘Hawa ndio ndege mnaopaswa kuchukia; wasiliwe kwa sababu ni chukizo: tai,+ furukombe, tumbusi* mweusi,+ 14 mwewe mwekundu na aina zote za mwewe weusi, 15 kila aina ya kunguru, 16 mbuni, bundi, shakwe, kila aina ya kipanga, 17 bundi mdogo, mnandi, bundi mwenye masikio marefu, 18 batamaji, mwari, tumbusi,* 19 korongo, kila aina ya kulastara, hudihudi, na popo. 20 Kila kiumbe mwenye mabawa* anayeishi katika makundi makubwa anayetambaa kwa miguu yote minne ni chukizo kwenu.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki