-
Kumbukumbu la Torati 26:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Kisha utashangilia kwa sababu ya vitu vyote vyema ambavyo Yehova Mungu wako amekupa wewe na nyumba yako, wewe na Mlawi na mkaaji mgeni aliye miongoni mwenu.+
-