Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 12:15
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 15 Kwa siku saba mtakula mikate isiyo na chachu.+ Naam, siku ya kwanza mtaondoa nyumbani mwenu unga uliokandwa wenye chachu, kwa sababu mtu yeyote atakayekula kitu kilichotiwa chachu kuanzia siku ya kwanza mpaka siku ya saba, ni lazima auawe kutoka katika Israeli.

  • Kutoka 13:7
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 7 Mikate isiyo na chachu inapaswa kuliwa kwa siku hizo saba;+ nanyi msipatikane na kitu chochote kilicho na chachu+ wala unga wowote uliokandwa uliotiwa chachu katika eneo lenu lote.*

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki