-
Kumbukumbu la Torati 20:7Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
7 Na ni nani ambaye amemchumbia mwanamke lakini hajamwoa? Na arudi nyumbani kwake.+ La sivyo, huenda akauawa vitani na mwanamume mwingine amwoe.’
-