Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 9:8
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 8 Na nyumba hii itakuwa marundo ya magofu.+ Kila mtu atakayepita karibu nayo ataitazama kwa mshangao, atapiga mluzi na kuuliza, ‘Kwa nini Yehova aliitendea hivi nchi hii na nyumba hii?’+

  • 2 Mambo ya Nyakati 7:20
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 20 nitawang’oa Waisraeli kutoka katika nchi ambayo nimewapa,+ na nyumba hii ambayo nimeitakasa kwa ajili ya jina langu nitaitupilia mbali kutoka mbele za macho yangu, nami nitaifanya iwe kitu cha kudharauliwa* na kitu cha kudhihakiwa miongoni mwa mataifa yote.+

  • Yeremia 24:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 Nitawafanya wawe kitu cha kutisha na msiba kwa falme zote za dunia,+ shutuma, methali, kitu cha kudhihakiwa, na laana+ kila mahali nitakapowatawanya.+

  • Yeremia 25:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 ninaziita familia zote za kaskazini,”+ asema Yehova, “ninamwita Mfalme Nebukadneza* wa Babiloni, mtumishi wangu,+ nami nitawaleta dhidi ya nchi hii+ na dhidi ya wakaaji wake na dhidi ya mataifa haya yote yanayozunguka.+ Nitawaangamiza na kuwafanya kuwa kitu cha kutisha na kitu cha kupigiwa mluzi na magofu ya kudumu.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki