Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 10:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 Ndio maana Lawi hana fungu wala urithi pamoja na ndugu zake. Yehova ndiye urithi wake, kama Yehova Mungu wako alivyokuwa amemwambia.+

  • Yoshua 18:7
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 7 Lakini Walawi hawana urithi kati yenu,+ kwa sababu ukuhani wa Yehova ndio urithi wao;+ na tayari Gadi, Rubeni, na nusu ya kabila la Manase+ wamechukua urithi wao upande wa mashariki wa Yordani, ambao Musa mtumishi wa Yehova aliwapa.”

Tanzanian sign language publications (2020-2026)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki