Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 18:24
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 24 Kwa maana nimewapa Walawi sehemu ya kumi ambayo Waisraeli wananitolea mchango, mimi Yehova, ili iwe urithi wao. Ndiyo sababu nimewaambia, ‘Hawapaswi kuchukua urithi miongoni mwa Waisraeli.’”+

  • Hesabu 26:62, 63
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 62 Wanaume wote wenye umri wa kuanzia mwezi mmoja na zaidi walioandikishwa walikuwa 23,000.+ Hawakuandikishwa pamoja na Waisraeli wengine,+ kwa sababu hawakupaswa kupewa urithi miongoni mwa Waisraeli.+

      63 Hao ndio walioandikishwa na Musa na kuhani Eleazari walipowaandikisha Waisraeli katika jangwa tambarare la Moabu karibu na Yordani huko Yeriko.

  • Kumbukumbu la Torati 18:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 18 “Makuhani Walawi, naam, kabila lote la Lawi, halitakuwa na fungu au urithi pamoja na Waisraeli. Watakula dhabihu zinazochomwa kwa moto zinazotolewa kwa Yehova, ambazo ni urithi wake.+

Tanzanian sign language publications (2020-2026)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki