-
Yoshua 24:27Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
27 Ndipo Yoshua akawaambia watu wote, “Tazameni! Jiwe hili litakuwa ushahidi dhidi yetu,+ kwa sababu limesikia maneno yote ambayo Yehova ametuambia, nalo litakuwa ushahidi dhidi yenu, ili msimkane Mungu wenu.”
-