Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 14:8, 9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 8 Baadaye alipokuwa akirudi kumchukua mwanamke huyo aende naye nyumbani,+ alienda kuangalia ule mzoga wa simba, nao ulikuwa na nyuki wengi na asali. 9 Basi akakwangua asali hiyo na kuitia mikononi mwake, akaila huku akitembea. Alipomfikia baba yake na mama yake, akawagawia ili wale. Lakini hakuwaambia kwamba aliikwangua kutoka katika mzoga wa simba.

Tanzanian sign language publications (2020-2026)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki