Waamuzi 16:5 Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 5 Basi watawala wa Wafilisti wakaenda kwa mwanamke huyo na kumwambia, “Mdanganye*+ ili ujue chanzo cha nguvu zake nyingi na jinsi tunavyoweza kumshinda, kumfunga, na kumdhibiti. Na kila mmoja wetu atakupa vipande 1,100 vya fedha.”
5 Basi watawala wa Wafilisti wakaenda kwa mwanamke huyo na kumwambia, “Mdanganye*+ ili ujue chanzo cha nguvu zake nyingi na jinsi tunavyoweza kumshinda, kumfunga, na kumdhibiti. Na kila mmoja wetu atakupa vipande 1,100 vya fedha.”