-
Waamuzi 16:18Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
18 Delila alipoona kwamba Samsoni amemfunulia moyo wake, akawaita mara moja watawala wa Wafilisti+ na kuwaambia, “Njooni, kwa maana sasa amenifunulia moyo wake.” Basi watawala wa Wafilisti wakaja kwa Delila wakiwa na zile pesa.
-