Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 15:8-10
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 8 “‘Lakini mkimtolea Yehova mnyama dume kutoka katika mifugo yenu ili awe dhabihu ya kuteketezwa+ au dhabihu ya kutimiza nadhiri ya pekee+ au dhabihu za ushirika,+ 9 mnapaswa kumtoa mnyama dume huyo pamoja na sehemu tatu za kumi za kipimo cha efa moja ya unga laini uliochanganywa na nusu ya hini ya mafuta kwa ajili ya toleo la nafaka.+ 10 Mnapaswa pia kutoa nusu ya hini ya divai ili iwe toleo la kinywaji+ linalochomwa kwa moto lenye harufu inayompendeza* Yehova.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki