-
1 Samweli 15:26Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
26 Lakini Samweli akamwambia Sauli: “Sitarudi pamoja nawe, kwa kuwa umelikataa neno la Yehova, naye Yehova amekukataa usiendelee kuwa mfalme wa Israeli.”+
-