-
1 Samweli 10:21Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
21 Kisha akaagiza kabila la Benjamini likaribie kulingana na koo zao, basi ukoo wa Wamatri ukachaguliwa. Mwishowe Sauli mwana wa Kishi akachaguliwa.+ Lakini walipoenda kumtafuta, hawakumpata.
-
-
1 Samweli 10:23Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
23 Basi wakakimbia na kumleta kutoka mahali hapo. Aliposimama katikati ya watu, alikuwa mrefu kuliko watu wote nao walimfikia mabegani.+
-