Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 18:12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 12 Ndipo Sauli akamwogopa Daudi kwa sababu Yehova alikuwa pamoja naye+ lakini alikuwa amemwacha yeye.*+

  • 1 Samweli 28:15
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 15 Kisha “Samweli” akamuuliza Sauli: “Kwa nini umenisumbua kwa kufanya nipandishwe?” Sauli akamjibu: “Niko katika taabu kubwa. Wafilisti wanapigana nami, na Mungu ameniacha, hanijibu tena, iwe ni kupitia manabii au katika ndoto;+ ndiyo sababu nimekuita uniambie ninalopaswa kufanya.”+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki