Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 17:32
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 32 Daudi akamwambia Sauli: “Mtu yeyote asife moyo* kwa sababu yake. Mimi mtumishi wako nitaenda kupigana na huyo Mfilisti.”+

  • 1 Samweli 17:36
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 36 Mimi mtumishi wako nilimuua simba na dubu pia, na huyu Mfilisti asiyetahiriwa atakuwa kama mmoja wao, kwa sababu amevitukana* vikosi vya Mungu aliye hai.”+

  • 1 Samweli 17:45, 46
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 45 Daudi akamjibu hivi huyo Mfilisti: “Unakuja kupigana nami kwa upanga, mkuki, na fumo,+ lakini mimi naja kupigana nawe kwa jina la Yehova wa majeshi,+ Mungu wa vikosi vya Israeli, ambaye umemtukana.*+ 46 Siku hii ya leo Yehova atakutia wewe mikononi mwangu,+ nami nitakuua na kukata kichwa chako; na siku ya leo nitawapa ndege wa angani na wanyama mwitu wa dunia maiti za kambi ya Wafilisti; na watu wote duniani watajua kwamba kuna Mungu katika Israeli.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki