Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 9:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 Kisha Daudi akauliza: “Je, kuna yeyote aliyebaki katika nyumba ya Sauli ninayeweza kumtendea kwa upendo mshikamanifu kwa ajili ya Yonathani?”+

  • 2 Samweli 9:3
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 3 Mfalme akaendelea kumuuliza: “Je, kuna yeyote aliyebaki katika nyumba ya Sauli ninayeweza kumtendea kwa upendo mshikamanifu wa Mungu?” Siba akamjibu hivi mfalme: “Bado kuna mwana mmoja wa Yonathani; amelemaa miguu yote miwili.”*+

  • 2 Samweli 9:6, 7
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 6 Mefiboshethi mwana wa Yonathani mwana wa Sauli alipofika mbele ya Daudi, mara moja alianguka chini kifudifudi na kumwinamia. Daudi akasema: “Mefiboshethi!” naye akajibu: “Mimi hapa, mtumishi wako.” 7 Daudi akamwambia: “Usiogope, kwa maana hakika nitakutendea kwa upendo mshikamanifu+ kwa ajili ya Yonathani baba yako, nami nitakurudishia ardhi yote ya Sauli babu yako, nawe utakula chakula* mezani pangu sikuzote.”+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki