-
Kutoka 19:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Akawaambia: “Jitayarisheni kwa ajili ya siku ya tatu. Msifanye ngono.”*
-
-
Mambo ya Walawi 15:16Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
16 “‘Mwanamume akitokwa na shahawa, anapaswa kuoga mwili mzima kwenye maji naye hatakuwa safi mpaka jioni.+
-
-
2 Samweli 11:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Uria akamjibu Daudi: “Sanduku la agano+ na wanaume wa Israeli na Yuda wanakaa katika vibanda, na bwana wangu Yoabu na watumishi wake wanapiga kambi uwanjani. Ninawezaje kwenda nyumbani kwangu kula na kunywa na kulala na mke wangu?+ Kwa hakika kama unavyoishi na kama ulivyo hai,* sitafanya hivyo!”
-