Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 17:51
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 51 Daudi akaendelea kukimbia na kusimama juu yake. Kisha akaushika upanga wa Mfilisti+ huyo na kuuchomoa kutoka katika ala yake, akahakikisha kwamba amekufa kwa kumkata kichwa kwa upanga huo. Wafilisti walipoona kwamba shujaa wao amekufa, wakakimbia.+

  • 1 Samweli 17:54
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 54 Halafu Daudi akachukua kichwa cha yule Mfilisti na kukileta Yerusalemu, lakini akaziweka silaha za Mfilisti huyo ndani ya hema lake mwenyewe.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki