-
Mambo ya Walawi 8:12Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
12 Mwishowe akamimina juu ya kichwa cha Haruni kiasi fulani cha mafuta hayo yanayotumiwa kutia mafuta, akamtia mafuta ili kumtakasa.+
-
-
Hesabu 17:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Siku iliyofuata, Musa alipoingia katika hema la Ushahidi, aliona fimbo ya Haruni ya kabila la Lawi imetokeza matumba nayo ilikuwa ikichanua maua na kuzaa matunda ya lozi yaliyoiva.
-