-
Kutoka 28:43Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
43 Haruni na wanawe watazivaa wanapoingia kwenye hema la mkutano au wanapokaribia madhabahu kuhudumu mahali patakatifu, ili wasipatwe na hatia na kufa. Ni sheria ya kudumu kwa Haruni na uzao wake.*
-