Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 2:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 2 Baadaye Daudi akamuuliza hivi Yehova:+ “Je, nipande kwenda katika mojawapo ya majiji ya Yuda?” Yehova akamwambia: “Panda uende.” Kisha Daudi akamuuliza: “Niende wapi?” Akajibu: “Hebroni.”+

  • 2 Samweli 2:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Muda ambao Daudi alikuwa mfalme huko Hebroni juu ya nyumba ya Yuda ulikuwa miaka saba na miezi sita.+

  • 1 Mambo ya Nyakati 12:23
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 23 Hii ndiyo idadi ya viongozi wa wale waliojihami kwa ajili ya vita ambao walijiunga na Daudi kule Hebroni+ ili kumpa utawala wa Sauli kulingana na agizo la Yehova.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki