Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 22:1
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 22 Basi Daudi akaondoka huko+ na kukimbilia katika pango la Adulamu.+ Ndugu zake na nyumba yote ya baba yake waliposikia habari hiyo, wakashuka na kumfuata huko.

  • 1 Samweli 22:5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 5 Baada ya muda nabii Gadi+ akamwambia Daudi: “Usikae ndani ya ngome. Ondoka humo uende katika nchi ya Yuda.”+ Kwa hiyo Daudi akaondoka na kwenda katika msitu wa Herethi.

  • 1 Samweli 24:22
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 22 Kwa hiyo Daudi akamwapia Sauli, kisha Sauli akaenda nyumbani kwake.+ Lakini Daudi na wanaume wake wakapanda kwenda ndani ya ngome.+

  • 2 Samweli 23:14
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 14 Wakati huo Daudi alikuwa ndani ya ngome,+ na kituo cha ulinzi cha Wafilisti kilikuwa Bethlehemu.

  • 1 Mambo ya Nyakati 14:8
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 8 Wafilisti waliposikia kwamba Daudi alikuwa ametiwa mafuta kuwa mfalme wa Waisraeli wote,+ Wafilisti wote wakapanda kuja kumtafuta Daudi.+ Daudi aliposikia jambo hilo, akaenda kukabiliana nao.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki