Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 15:8
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 8 Na mpaka huo ukapanda hadi Bonde la Mwana wa Hinomu+ kwenye mteremko wa jiji la Wayebusi+ upande wa kusini, yaani, Yerusalemu,+ nao ukapanda hadi juu ya mlima unaotazamana na Bonde la Hinomu upande wa magharibi, yaani, mwisho kabisa wa Bonde la* Refaimu upande wa kaskazini.

  • Yoshua 15:12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 12 Mpaka wa magharibi ulikuwa Bahari Kuu*+ na pwani yake. Hiyo ndiyo iliyokuwa mipaka yote ya wazao wa Yuda kulingana na koo zao.

  • 1 Mambo ya Nyakati 11:15
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 15 Viongozi watatu kati ya wale viongozi 30 walishuka mwambani kwa Daudi, katika pango la Adulamu,+ wakati jeshi la Wafilisti lilipokuwa limepiga kambi katika Bonde la* Refaimu.+

  • 1 Mambo ya Nyakati 14:13-17
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 13 Baadaye Wafilisti wakaja tena na kuvamia bondeni.*+ 14 Daudi akamwomba Mungu ushauri tena, lakini Mungu wa kweli akamwambia: “Usipande moja kwa moja na kuwafuatia. Badala yake, zunguka nyuma yao, uwashambulie mbele ya vichaka vya mibaka.+ 15 Na utakaposikia sauti ya watu wakipiga mwendo juu ya vichaka vya mibaka, washambulie, kwa sababu mimi Mungu wa kweli nitakuwa nimetangulia mbele yako ili kuliua jeshi la Wafilisti.”+ 16 Basi Daudi akafanya kama Mungu wa kweli alivyomwamuru,+ wakaliua jeshi la Wafilisti kuanzia Gibeoni mpaka Gezeri.+ 17 Umaarufu wa Daudi ukaenea katika nchi zote, na Yehova akayafanya mataifa yote yamwogope Daudi.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki