-
2 Wafalme 21:24Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
24 Lakini watu wa nchi hiyo wakawaua wale wote waliopanga njama dhidi ya Mfalme Amoni, nao wakamweka Yosia mwanawe kuwa mfalme baada yake.+
-