Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 19:2
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 2 Ndipo Yezebeli akamtuma mjumbe kwa Eliya, akisema: “Miungu na iniadhibu, tena vikali, ikiwa kufikia kesho wakati kama huu sitakufanya uwe kama* kila mmoja wa manabii hao!”

  • Waroma 11:2, 3
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 2 Mungu hakuwakataa watu wake, aliowatambua kwanza.+ Je, hamjui andiko linavyosema kumhusu Eliya, anapomsihi Mungu dhidi ya Israeli? 3 “Yehova,* wamewaua manabii wako, wamezibomoa madhabahu zako, nami peke yangu nimebaki, na sasa wanajaribu kuniua.”*+⁠

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki