-
1 Wafalme 17:24Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
24 Ndipo mwanamke huyo akamwambia Eliya: “Sasa ninajua kwamba kwa kweli wewe ni mtu wa Mungu+ na kwamba neno la Yehova kutoka kinywani mwako ni kweli.”
-