Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 6:26
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 26 Wakati huo Yoshua alitangaza kiapo* hiki: “Na alaaniwe mbele za Yehova mtu atakayejaribu kulijenga tena jiji hili la Yeriko. Atakapojenga msingi wake, mzaliwa wake wa kwanza atakufa, na atakapoweka malango yake, mwana wake wa mwisho atakufa.”+

  • 1 Wafalme 16:34
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 34 Katika siku zake, Hieli kutoka Betheli alijenga upya Yeriko. Alipojenga msingi wake, Abiramu mzaliwa wake wa kwanza alikufa, na alipoweka malango yake, Segubu mwana wake wa mwisho akafa, kama Yehova alivyokuwa amesema kupitia Yoshua mwana wa Nuni.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki