Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 34:1-3
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 34 Kisha Musa akatoka katika jangwa tambarare la Moabu na kupanda Mlima Nebo,+ kwenye kilele cha Pisga,+ kinachoelekeana na Yeriko.+ Yehova akamwonyesha nchi yote, kuanzia Gileadi mpaka Dani,+ 2 na nchi yote ya Naftali na nchi ya Efraimu na Manase, na nchi yote ya Yuda mpaka bahari ya magharibi,*+ 3 na Negebu+ na ile Wilaya,+ bonde tambarare la Yeriko, jiji la mitende, mpaka Soari.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki