-
2 Wafalme 1:10Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 Lakini Eliya akamjibu mkuu huyo wa 50: “Ikiwa kwa kweli mimi ni mtu wa Mungu, moto na ushuke kutoka mbinguni,+ ukuteketeze wewe na wanaume wako 50.” Basi moto ukashuka kutoka mbinguni, ukamteketeza pamoja na wanaume wake 50.
-